Mbowe kutoa msimamo uchaguzi wa serikali za mitaa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kutoa msimamo wa chama hicho kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 siku ya Jumanne Disemba 10, 2024 makao makuu ya chama Mikocheni, Dar es Salaam Msimamo huo unakuja kufuatia vikao vya kamati kuu ya chama hicho vilivyoketi tangu wiki iliyopita kupitia mitandao…