Chuo Kikuu Ardhi chajivunia ongezeko la ajira kwa wahitimu wake
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wakati Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) kikiweka malengo ya kufikia wahitimu 13,000 ifikapo mwaka 2029 kimesema kinajivunia asilimia 95 ya wahitimu wake wanapata ajira ndani na nje ya nchi. Akizungumza Desemba 5,2024 na waandishi wa habari wakati wa mahafali ya 18 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Profesa Evaristo…