Serikali Yakipongeza Chuo Cha Ufundi Arusha kwa Ubunifu wa Program zake.
Na Jane Edward, Arusha Serikali imesema inaunga mkono Dhamira ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)ya kuongeza program mpya na udahili hasa katika ngazi ya ufundi Sanifu huku akiitaka bodi ya shule hiyo kuendelea kuboresha mitaala ili iendane na mahitaji ya soko la viwanda kwa sasa. Hayo yameelezwa na Profesa Daniel Mushi ambaye ni katibu…