
Fei Toto aanika silaha hadharani, Aucho atoa neno
KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho amefunguka akikiri kuwa mziki wa Azam ndio unaowanyima raha kwa namna wanavyokutana na upinzani mkubwa, huku nyota wa zamani wa Jangwani anayekipiga Azam FC, Feisal Salum akianika silaha zake hadharani akikisitiza kiu ya kuzinasa Simba na Yanga katika Ligi Kuu. Fei ameendelea kuboresha rekodi katika ligi tangu akiwa na Azam,…