Gharama kubwa za masomo chanzo upungufu wa marubani
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi, amesema Tanzania inakabiliwa na uhaba wa marubani zaidi ya 150, licha ya juhudi zinazoendelea za kuongeza idadi yao nchini. Amesema changamoto kubwa iliyopo ni gharama kubwa ya mafunzo, ambapo kumwandaa rubani mmoja hadi kufikia kiwango cha kuendesha ndege kunagharimu takriban…