TACTIC KUONGEZA THAMANI YA MAZAO KWA WAKULIMA WA RUKWA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange(Mb) amesema ujenzj wa soko kuu la mazao ya nafaka eneo la Kanondo Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa ni Mkombozi wa wakulima kwani Soko hilo litaongeza thamani ya mazao na kukuza mzunguko wa fedha mkoani humo. Mheshimiwa Dkt Dugange…