Bodi ya TASAC :Kukamilika kwa Bandari ya Mbamba Bay kufungua maendeleo ya Kiuchumi
*Watoa shukrani kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa fedha ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay. Na Mwandishi Wetu,Nyasa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Meli Tanzania (TASAC) limesema kuwa Bandari ya Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma ni Muhinu katika Maendeleo ya Kiuchumi. Bandari hiyo itafungua biashara katika nchi za Malawi…