Wananchi: Mipaka ya msitu Kigosi Myowosi ipimwe upya kudhibiti mauaji
Tabora: Wakazi wa Kijiji cha Mpanda Mlowoka wilayani Kaliua mkoani Tabora wameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii kupima upya mipaka ya hifadhi ya misitu ya taifa ya Kigosi Muyowosi na kijiji chao kwa lengo la kudhibiti mauaji yanayodaiwa kufanywa na askari wa uhifadhi dhidi ya wananchi. Kauli hiyo imekuja baada ya tukio la Desemba 2,…