SHILATU AIPONGEZA LIBOBE KWA MAFANIKIO KIELIMU
Na Mwandishi wetu, Mpapura Afisa Tarafa Mpapura Emmanuel Shilatu amewapongeza Walimu, Wanafunzi na Wazazi kwa jitihada kubwa wanazoweka zinazopelekea kupata mafanikio makubwa ya ufaulu. Pongezi hizo Shilatu ambaye alikuwa Mgeni rasmi amezitoa wakati akizungumza kwenye Mahafali 16 ya kidato Cha nne Shule ya Sekondari ya Libobe iliyopo Kata ya Libobe, Tarafa ya Mpapura mkoani Mtwara…