Tsh 4,000,000/= za kasino ya mtandaoni Disemba hii zinakusubiri.

Haiwezekani msimu huu wa Sikukuu Usiambulie chochote kutoka Meridianbet, ndugu jamaa na marafiki wafurahishe kwa kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya Bragg na ushinde mgao wa Tsh 4,000,000/= Promosheni inafanyika kwa mfumo wa mashindano kwenye michezo iliyochaguliwa iliyoandaliwa na Bragg (Gamomat, Atomic Slot Lab, Blue beri): scss Sticky Diamonds (GAM) Fruit Mania (GAM) Aura…

Read More

17 Coastal wasikilizia pingamizi la uchaguzi

SIKU chache baada ya Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Coastal Union kutangaza majina 17 ya wagombea waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, kwa sasa wanasikilizi siku mbili kuwekewa pingamizi kabla ya kuanza kampeni na kusubiri maamuzi ya sanduku la kura siku ya Desemba 21. Muda wa pingamizi kwa wagombea hao…

Read More

MAWADENI 147 WANOLEWA KUWAHUDUMIA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

Na Mwandishi wetu- Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Hamis Nderiananga amesema Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejenga na kukarabati miundombinu inayozingatia mahitaji maalum ya wanafunzi kuanzia elimu ya awali mpaka vyuo vikuu. Mhe. Nderiananga aliyasema hayo mkoani Morogoro wakati wa ufunguzi wa Mafunzo…

Read More

Siku ya kuondoka na maokoto ya maana ni leo

Wikendi ndiyo hiyo inaanza leo hii ambapo nafasi ya kuibuka mshindi unayo mkononi kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Unasubiri nini?. Ingia na ubashiri hapa. Meridianbet inaanza kumulika ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA ambapo leo hii kutakuwa na mtanange mkali kabisa kati ya wenyeji VFB Stuttgart dhidi ya Union Berlin. Mwenyeji ametoka…

Read More

ROSTAM AZIZ: TUNALO JUKUMU LA KUWASAIDIA WATANZANIA KUJUA KUFANYA BIASHARA

Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ametoa wito wa kuanzishwa kwa semina mikoani kwa ajili ya kuwaelimisha wafanyabiashara wadogo namna ya kufanya biashara kwa mafanikio, kupata mikopo, na kupanua shughuli zao. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika kikao cha “Roundtable” cha wafanyabiashara na wawekezaji wa Kitanzania, Rostam alisisitiza umuhimu wa kutoa elimu ya uzoefu wa kibiashara…

Read More

Kagoma avunja ukimya ishu na Simba

WAKATI taharuki ikiendelea kutanda juu ya kiungo wa Simba, Yusuph Kagoma kufuta picha na utambulisho wa kuwa ni mchezaji wa timu hiyo katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii ya Instagram,  mwenyewe amevunja ukimya na kuanika sababu ya kufanya hivyo. Kagoma, ni kati ya wachezaji wa Simba waliobaki nchini wakati timu hiyo ikiwa Algeria kucheza…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUJENGA UWEZO WA UFANYAJI WA TATHMINI ZA PROGRAMU NA MIRADI KWA WATAALAMU WA UFUATILIAJI NA TATHMINI NCHINI KWA VITENDO

Na Mwandishi wetu-Dodoma. Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Sakina Mwinyimkuu ameeleza kwamba Serikali imedhamiria kujenga uwezo wa kufanya Tathmini za Programu na Miradi kwa vitendo kwa kutumia Programu halisi zinazotekelezwa Nchini. Mkurugenzi huyo alitoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku nne yanayofanyika katika…

Read More

Kongo yapambana na ugonjwa usiojulikana – DW – 06.12.2024

Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Kinshasa, waziri wa afya wa Kongo Samuel Roger Kamba, amesema kuwa wako katika hali ya tahadhari na kwamba wanachukulia tukio hilo kama kiwango cha janga linalohitaji kufuatiliwa. Kamba amesema katika vituo vya afya, wamehesabu watu 27 waliofariki. Pia amesema miongoni mwa vifo hivyo 27, watu 17 walikufa kutokana na…

Read More

TRC, Kata ya Isaka walitaka eneo la WFP

Shinyanga. Wakati Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) likikabidhi eneo lililokuwa likitumiwa kutunza chakula kwenye maghala katika Kata ya Isaka wilayani Kahama mkoani humo Shirika la Reli Tanzania (TRC) na uongozi wa Kati hiyo wameomba kumilikishwa eneo hilo. Eneo hilo lenye ukubwa wa mita za mraba 29,450 lilikuwa likitumiwa na WFP tangu 1996 hadi…

Read More