Nyota wa zamani wa Spurs, West Ham kusaka vipaji Bongo
MSHAMBULIAJI na nyota wa zamani wa klabu za West Ham United na Tottenham za England, Frédéric Kanouté anatazamiwa kuja nchini ili kusaidia kutafuta vipaji kupitia mashindano ya soka kwa Vijana Afrika Mashariki ambayo itafanyika jijini Arusha. Kanoute aliyewahi pia kutamba na Sevilla ya Hispania, Lyon ya Ufaransa na timu ya taifa ya Mali, akishinda tuzo za…