Rais Samia kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kati ya Mwezi Mei/Juni 2025 mara baada ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuijadili na kuidhinisha Rasimu ya Dira ya Maendeleo 2050. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waziri wa Nchi…

Read More

Diwani wa CCM Geita afariki dunia

Geita.  Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia. Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi viwili mfululizo na amefikwa na mauti akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando kwa ugonjwa wa nimonia tangu Novemba 23, 2024. Ni miezi minne…

Read More

Wabunge 16 wajeruhiwa ajali iliyohusisha basi,  lori

Dodoma. Wabunge 16 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabby walilokuwa wamepanda kwenda kwenye michezo ya Afrika Mashariki, Mombasa nchini Kenya, kugongana na lori lililokuwa likitoa Morogoro kuelekea Dodoma.  Ajali hiyo imehusisha basi la Kampuni ya Shabiby ambalo lilikuwa limebeba wabunge na maofisa wabunge na lori hilo lilikuwa likitokea Morogoro kuelekea Dodoma. Mbali na…

Read More