Mwaka 2024 ulivyopaisha utoaji huduma za afya Tanzania

Dar es Salaam. Hali ya utoaji wa huduma za afya nchini kwa mwaka 2024 imeendelea kuboreka kwa kiasi kikubwa, ingawa changamoto kadhaa bado zipo.Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, imewekeza katika kuboresha miundombinu, upatikanaji wa dawa na kuongeza rasilimali watu kwenye sekta ya afya.Serikali imeendelea kujenga na kukarabati hospitali za wilaya, vituo vya afya…

Read More

BODI YA WANAJIOLOJIA TANZANIA (TGS) MBIONI KUANZISHWA

Na Oscar Assenga,TANGA SERIKALI imesema kwamba itahakikisha uundwaji wa Bodi ya Wanajiolojia Tanzania (TGS) ili waweze kuwa na chombo ambacho kinaweza kuwaunganisha wataalamu hao kuweza kuleta mabadiliko chanya kwenye sekta hiyo. Hayo yalisemwa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akifungua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wataalamu wanajiolojia ulishirikisha wataalamu…

Read More

Umuhimu wa ushauri nasaha wenye kisukari

Watu wanaoishi na kisukari hukutana na changamoto za kudhibiti kiwango cha sukari, jambo linaloweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya, kama vile magonjwa ya moyo, kiharusi, matatizo ya figo, upofu na vidonda visivyopona. Hata hivyo, athari za kisukari siyo tu za kimwili, bali pia huweza kusababisha matatizo ya kisaikolojia. Kwa watu wengi wenye kisukari hupitia hali…

Read More

NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA UKANDA WA SADC KUENDELEZA TEKNOLOJIA YA MATUMIZI BORA YA NISHATI

Na Seif Mangwangi, Arusha NCHI za Jumuiya ya Afrika Mashariki na za ukanda wa SADC zimekubaliana kuendeleza teknolojia ya matumizi bora ya Nishati ili kukuza uchumi wa wananchi wao pamoja na kutunza mazingira yanayoendelea kuharibiwa kwa kasi. Hayo ni miongoni mwa maazimio yaliyokubaliwa katika mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati uliohusisha Nchi Wanachama…

Read More

Fountain Gate yaanza na wawili chapu!

FOUNTAIN Gate imeendelea na mchakato wa kuboresha kikosi chake kuelekea usajili wa dirisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa Desemba 15 mwaka huu baada ya kumalizana na Said Mbatty. Mbatty alikuwa nahodha wa Tabora United, ikiwa daraja la chini hadi ilipopanda msimu huu anaungana na timu hiyo akiwa mchezaji huru na ataungana na mshambuliajia Yusuf Athuman ambaye pia…

Read More

Ni Bares tu Ligi Kuu Bara

MOHAMED Abdallah ‘Baresi’ wa Mashujaa ndiye kocha peee aliyesalia kwenye timu moja kwa muda mrefu katika vikosi vya sasa vya klabu za Ligi Kuu Bara, akidumu kwa zaidi ya siku 514 ikiwa ni sawa na miezi 16, tangu alipojiunga na timu hiyo msimu uliopita wa 2023/24. Katika mazingira ya soka la kisasa, mabadiliko ya makocha…

Read More