
Zawadi za bibi harusi zinavyomtia unyonge mume, kuyumbisha ndoa
Mliowahi kuhudhuria au kuona sherehe mbalimbali za harusi kwenye mitandao ya kijamii, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakitoa zawadi kubwa mbalimbali kwa maharusi. Hii imeenda mbali zaidi kwa wanawake, ambao zamani walikuwa wakipewa vyombo na vitu vingine vya nyumbani, lakini nao sasa wanapewa zawadi za magari, nyumba, viwanja na fedha za kuanzia maisha. Hata…