Yanga yamtisha Kipre JR Algeria

WAKATI wadau wengi wakiibeza Yanga kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya waliokuwa nao wakipoteza mechi tatu mbili za Ligi Kuu na moja ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wenyeji wa MC Alger ya Algeria itakayokuwa wenyeji wa mechi ya kesho, wameingia mchecheto kutokana na uzoefu wa mastaa wao. Yanga itashuka uwanjani kesho saa 4:00 usiku kucheza…

Read More

Sababu watoto kuzaliwa bila njia ya haja kubwa

Dar es Salaam. Idadi ya watoto wanaozaliwa na changamoto kwenye njia ya haja kubwa, kitaalamu ‘anorectal malformation’ (ARM) imetajwa kuongezeka nchini. Ili mfumo wa haja kubwa ukamilike unapaswa kuungana na utumbo mkubwa na kuwe na uwazi. Katika uwazi huo ni lazima kuwe na valvu iliyosheheni mishipa ya fahamu ambayo kazi yake kubwa ni kuratibu shughuli…

Read More

Kundi la damu linachangia mtu kutopata VVU?

Siku ya Jumapili Desemba Mosi, 2024 ilikuwa ni siku ya Ukimwi duniani. Mwaka huu kaulimbiu inasema Chagua njia sahihi; Afya yangu, haki yangu. Katika utafiti wa karibuni 2023 uliochapishwa katika Jarida la PLOS ONE, watafiti walichunguza uhusiano kati ya virusi vya Ukimwi (VVU) na vikundi vya damu vya ABO na Rhesus factor D (RhD). Walifanya…

Read More

ITEL TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI KIWANDU ZANZIBAR

itel Tanzania Yaunga Mkono Elimu Zanzibar Kupitia Mpango wa CSR itel, chapa ya kimataifa, imethibitisha tena kujitolea kwake kwa elimu na maendeleo ya jamii kupitia tukio la kurudisha kwa Jamii (CSR) lililofanyika tarehe 4 Desemba 2024, katika Shule ya Msingi Kiwandui, Zanzibar. Mpango huu, kwa kushirikiana na Amity Foundation na Dream Public Welfare (DBSA), unalenga…

Read More

Naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka hatua zichukuliwe kuwalinda wahamiaji walio hatarini – Masuala ya Ulimwenguni

“Kuhama si takwimu tu; ni uzoefu wa maisha wa wanawake, wanaume na watoto, kila mmoja akiwa na utambulisho wa kipekee na udhaifu – kutafuta maisha bora na fursa. Lakini katika safari zao, wanakabiliwa na vurugu zisizofikirika, ugumu wa maisha na hatari,” Amina J. Mohammed alisema, akihutubia mkutano usio rasmi wa Baraza Kuu kuhusu mada hiyo….

Read More

VYETI VYA WAFAMASIA VITUMIWE NA WAHUSIKA

Na, WAF-Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa wito kwa wamiliki wa maduka ya dawa kuhakikisha vyeti vya wafamasia vinavyotumika kwenye maduka hayo vimeambatana na uwepo wa wahusika kwa kujiriwa katika maduka hayo. Akizungumza leo Disemba 04, 2024 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST), Dkt….

Read More

Simba yapiga hesabu kali kwa Waarabu

KIKOSI cha Simba kikiwa kamili gado, kimetua salama huko Algeria, huku benchi la ufundi la timu hiyo pamoja na wachezaji wakiwa na hesabu moja tu dhidi ya Waarabu watakaovaana nao wikiendi hii nchini humo. Simba inatarajiwa kuwa wageni wa CS Constantine inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu ya Algeria, katika mechi ya Kundi A ya Kombe…

Read More

Watatu Yanga wakoleza mzuka Algeria

KAMA wewe ni shabiki wa Yanga na ulikuwa na presha juu ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo wa keshokutwa dhidi ya MC Alger ya Algeria wa Ligi ya Mabingwa Afrika basi tulia. Yanga inatarajiwa kuwa wageni wa MC Alger inayoshika nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Algeria katika pambano la pili la…

Read More