Marie Stopes yaeleza umuhimu wenye ulemavu kupata huduma za afya ya uzazi
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Patrick Kinemo amesema shirika hilo linatoa huduma za afya ya uzazi kwa wananchi wote ambao wanastahili na wanahakikisha watu wenye ulemavu wanapata huduma hiyo. Amesema shirika hilo linaloshughulika hasa na huduma za afya hususani za uzazi linahakikisha watoa huduma wao wamepata mafunzo jinsi gani ya kuongeza…