MAABARA ZA SAYANSI ZAONGEZA HAMASA YA MASOMO – KAKONKO GIRLS

UJENZI wa maabara tatu za Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kakonko, Kigoma, umeleta hamasa kubwa ya kitaaluma kutokana na kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia. Maabara hizo za Fizikia, Kemia, na Biolojia, zilizogharimu shilingi  milioni 180, zilijengwa kwa ufadhili wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) kwa kushirikiana na Mfuko wa Elimu wa Taifa…

Read More

Ramovic, Fadlu katika mtihani wa mabao

Dar es Salaam. Licha ya kuwa Yanga na Simba wana vibarua tofauti na vigumu vya kufanya katika michezo yao ya pili ya kimataifa wakiwa ugenini nchini Algeria, takwimu zinaonyesha wapinzani wao, MC Alger na CS Constantine ni timu zenye tabia ya kuruhusu mabao. Jambo hilo linabaki kuwa mtihani kwa Kocha wa Yanga, Sead Ramovic na…

Read More

Jinsi Mmiliki wa Cambiaso alivyokamatwa akitoroka nchini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa namna mshtakiwa Kambi Zuberi Seif, alivyokamatwa akitoroka kwenda nchini Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, uliopo mkoani Tanga. Kambi aliye mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma Kigamboni, anadaiwa kukamatwa Horohoro na maofisa wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya( DCEA), baada ya kuweka mtego na…

Read More

Droo ya Klabu Bingwa Dunia kufanyika leo

Droo ya mashindano mapya ya kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu itafanyika leo Marekani ambapo jumla ya timu 32 zitagawanywa kwenye makundi nane ya timu nne. Awali, mashindano haya yalikuwa yanafanyika kila mwaka na kushirikisha timu saba bora kutoka mabara sita (AFC, CAF, Concacaf, Conmebol, OFC, na UEFA) lakini sasa yatakuwa na timu 32…

Read More

Hii hapa hoteli ya kifahari waliyofikia Yanga

Klabu ya Yanga imeweka kambi kwenye hoteli ya kifahari ya The Legacy Luxury iliyopo Hydra, Algiers, Algeria, ikiwa sehemu ya maandalizi ya mechi yao ya pili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayopigwa Jumamosi Desemba 7, 2024 dhidi ya MC Alger. The Legacy Luxury Hotel ni chaguo maarufu kwa timu za michezo…

Read More