DKT.STERGOMENA AWATUNUKU WAHITIMU 9000 CHUO KIKUU UDOM

Na.Alex Sonna-DODOMA MKUU wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena  Tax,amewatunuku Wahitimu  9,000  wa chuo hicho katika Mahafali ya 15 mwaka huu. Akitoa hotuba yake chuoni  hapo leo Disemba 5,2024 jijini Dodoma Makamu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof. Lughano Kusiluka,amesema  kuwa takribani zaidi…

Read More

Serikali kuendeleza na kudumisha kasi ya kusaidia kaya maskini na zilizo katika mazingira magumu

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Mchemba  akizungumza leo Desemba 05, 2024 jijini Dar es Salaam na  wakati wa mdahalo wa mstakabali wa ulinzi wa jamii katika kupunguza umasikini nchini, mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi Mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Pia Serikali imependekeza kuendelea kwa Miradi wenye Tija kwa Jamii. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…

Read More

Moto wa Kombe la Shirikisho kuendelea

BAADA ya jana kupigwa michezo mitatu ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) hatua ya 64 bora, uhondo huo utaendelea tena kesho kwa mechi nyingine sita kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali, kwa lengo la kusaka tiketi ya kutinga hatua ya 32 bora. Katika michezo za kesho, itashuhudia timu mbili za Ligi Kuu Bara zikianza kampeni ya…

Read More

Mbinu Mpya Zinahitajika Haraka Ili Kukabiliana na Migogoro ya Kijamii Huku Huzuka Tena – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Alhamisi, Desemba 05, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Des 05 (IPS) – Licha ya kuimarika kwa uchumi usio sawa tangu janga hilo, umaskini, kukosekana kwa usawa, na uhaba wa chakula unaendelea kuwa mbaya zaidi, ikiwa ni pamoja na eneo la Asia-Pacific, ambalo lilikuwa na maisha…

Read More

Zanzibarr kuwa kituo kikubwa cha Utalii wa kisasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Marianne Young, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 5-12-2024, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika…

Read More

Jaruph mwendo mdundo Morocco | Mwanaspoti

MTANZANIA anayecheza soka la ufukweni Morocco, Jaruph Juma, mambo yamezidi kumnyookea baada ya chama lake la Ain Diab iliyopo Ligi Kuu ya Ufukweni, kushinda kwa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2 dhidi ya Sbou Knetra. Jaruph aliliambia Mwanaspoti licha ya mechi hiyo kuwa ya kawaida ya ligi, lakini namna ushindani…

Read More