Chama tawala Korea Kusini chaahidi kupinga kumuondoa rais – DW – 05.12.2024
Mwenyekiti wa chama tawala cha Korea Kusini amehimiza chama chake kupiga kura kupinga hoja ya kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol, inayoongozwa na upinzani. Kwa upande mwingine wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema kuwa imeongeza mawasiliano ya karibu zaidi na Marekani tangu Rais Yoon alipotangaza sheria ya kijeshi siku ya Jumanne. Rais…