USHINDI TUZO YA MWAJIRI BORA WA BARRICK NORTH MARA NI MFANO WA UWEKEZAJI MADHUBUTI KATIKA TASNIA YA MADINI NCHINI

Wafanyakazi wa Barrick wakishangilia mafanikio ya kampuni baada ya ushindi wa Tuzo za ATE katika vipengele mbalimbali Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko (kushoto) akipokea kikombe cha Tuzo ya Ushindi wa Mwajiri bora ilipopokelewa mgodini. Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko (kushoto) akipokea kikombe cha Tuzo ya Ushindi wa…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Yanga, Simba inawezekana hata Algeria

KESHOKUTWA kuanzia saa 4:00 usiku tutakuwa bize hapa kijiweni tukitazama mechi ya wawakilishi wetu wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga dhidi ya MC Alger itakayochezwa jijini Algiers, Algeria. Dua zetu zitakuwa kwa Yanga ipate ushindi katika mechi hiyo kwani ndio matokeo yatakayoweka hai matumaini yake ya kuingia robo fainali baada ya kupoteza mechi…

Read More

Halotel yaja na Data Kiwashe kuelekea msimu wa sikukuu

Na Imani Nathaniel, Mtanzania Digital Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel imezindua Kampeni mpya inayofahamika kama ‘Data na Kiwashe’ ikiwa ni moja ya zawadi kuelekea msimu wa sikukuu ikijikita katika kumpa mteja nafasi ya kujishindia simu mbalimbali ikiwamo Samsung A15 na A35 kupitia mfumo wa ‘Lucky Droo’ yaani Droo ya Bahati hasa kwa wateja wapya wanaojiunga…

Read More

Chama cha Social Democratic chazindua kampeni ya uchaguzi – DW – 05.12.2024

Kansela Scholz amekiambia chama chake cha Social Democratic, SPD kwamba uchaguzi mkuu utakaofanyika mnamo mwezi Februari mwakani ni muhimu kwa sababu ndio utakaoamua juu ya mustakabali wa Ujerumani. Scholz alitamka hayo mbele ya wanachama wa chama chake wapatao 500 mjini Berlin. “Bunge jipya la Ujerumani litachaguliwa tarehe 23 Februari mwakani. Hatuna muda wa kupoteza. Tunapaswa…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Kijiwe kimembariki Yondani Pamba

IWE ni umri sahihi au sio sahihi, wote tunakubaliana kwamba Kelvin Yondani ‘Vidic’ ni mtu mzima hasa kwenye Ligi yetu ya Tanzania Bara ukilinganisha na mabeki wengi wa kati. Nyaraka zake mbalimbali zinaonyesha kuwa alizaliwa Oktoba 4, 1984 hivyo kwa sasa tayari ametimiza miaka 40 hivyo kiuhalisia wachezaji wengi wa Ligi Kuu ni wadogo zake…

Read More

Pamba Jiji yamgeukia Mwaisa Mtu Mbadi

BAADA ya mkongwe Kelvin Yondani kumalizana na Pamba Jiji sasa ni zamu ya Deus Kaseke ‘Mwaisa Mtu Mbadi’ ambaye pia amejiunga na timu hiyo tayari kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini humo. Wawili hao wameshawahi kucheza pamoja na wanaungana na timu hiyo wakiwa wachezaji huru baada ya kila mmoja kutoka timu tofauti, Yondani  akitokea Geita…

Read More