Wajiolojia wataka bodi ya usajili
Tanga. Chama cha Jiolojia Tanzania (TGS) kimeitaka Serikali kuharakisha uanzishwaji wa bodi ya usajili wa wataalamu wa jiolojia wa Tanzania, kikisisitiza umuhimu wake katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu ya sekta ya madini yaliyoainishwa kwenye Dira ya Maendeleo ya 2030 ya Tanzania. Wito huu umetolewa na Rais wa TGS, Dk Elisante Mshiu, kwenye mkutano wao…