Abiria SGR wasota Soga saa nne, TRC yatoa sababu

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC), limesema kilichokwamisha safari ya treni ya umeme iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma ni hitilafu ya umeme. Abiria waliokuwa wakisafiri na treni hiyo walijikuta wakisota Stesheni ya Soga mkoani Pwani, kwa saa nne kisha wakaendelea na safari. Treni hiyo ilitakiwa kuondoka Stesheni ya Magufuli jijini Dar…

Read More

Rostam: Hakuna nchi duniani iliyojenga uchumi kwa kutumia wawekezaji wa nje

Mfanyabiashara na mwekezaji, Rostam Aziz amesema kuna umuhimu wa kuwakumbatia wawekezaji wa ndani katika utekelezaji wa miradi ya ndani ili kujenga uchumi wa nchi. Rostam ameyasema hayo leo Alhamisi, Desemba 5, 2024 kwenye mjadala ulioandaliwa na Clouds Media Group unaoongelea namna Serikali imefanya uwezeshaji kwa wawekezaji wazawa. Amesema mwekezaji kutoka nje anachoangalia ni biashara na…

Read More

MWENYEKITI INEC AKAGUA MAFUNZO – Mzalendo

  Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Ilboru Mkoani Arusha  alipotembelea mafunzo hayo leo Disemba 5, 2024. ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la…

Read More

Wawili mbaroni kwa mauaji, kujeruhi

Kibaha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu wawili, mmoja akiwa ni mume anayetuhumiwa kwa kumuua mkewe na mwingine akidaiwa kuwajeruhi watu wanne kwa kutumia bunduki. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, ameeleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Desemba 5, 2024, mjini Kibaha. Watuhumiwa hao ni Godfrey Killu, mkazi wa…

Read More