Serikali: Sayansi na Teknolojia itatusaidia kuendeleza rasilimali zetu
WAKATI serikali ikiendelea kuikuza sekta ya Sayansi na Teknolojia imesema panahitajika nguvu zaidi kutengeneza wataalam watakaoziendeleza rasilimali za taifa. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alipokuwa akifunga Kongamano na maonyesho ya tisa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu yaliyoandaliwa na Tume…