
Dua Lipa awaacha midomo wazi mashabiki ,achumbiwa rasmi
Dua Lipa amezua gumzo za shangwe kwenye sherehe ya Krismasi baada ya kutangaza kuwa amechumbiwa Mwimbaji huyo wa Radical Optimism alienda kwenye Instagram yake kuonesha pete yake ya uchumba . Akichapisha picha yake akiwa amevalia suruali nyeupe yenye Lipa aliandika kwenye nukuu, “Krismasi ilikuwa nzuri sana. Mashabiki walifurika sehemu ya maoni ili kushiriki maoni yao…