Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali
Sekta ya madini nchini Tanzania kwa mwaka 2023/2024, makusanyo yameongezeka kwa asilimia 300 kufikia shilingi bilioni 700 kutoka bilioni 161 mwaka 2021. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za serikali kupitia Wizara ya Madini katika kusimamia na kuendeleza sekta hii muhimu kwa uchumi wa taifa. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhe. Msafiri Mbibo, amesema hayo…