Wanaharakati Wahimiza Vyama vya Siasa Kuwapa Nafasi Wanawake, Vijana na Walemavu Kugombea Uongozi
VYAMA vya siasa vimetakiwa kuwaamini wanawake,vijana wa jinsia zote,sambamba na walemavu kwa kuwapatia nafasi ya kusimama katika nafasi za kugombea uongozi ili wapate nafasi ya kuchaguliwa na kuongoza. Tamko hilo limetolewa leo Disemba 04,2024 na Afisa TGNP idara ya ujenzi na nguvu za pamoja Anna Sangai katika semina za jinsia na Maendeleo zinazofanyika kila Jumatano…