Simba yatikisa Algeria, yatumia ujanja huu

SIMBA ipo zake Algeria kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Kundi A dhidi ya CS Constantine utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Chahid Hamlaoui uliopo Mji wa Constantine. Katika mechi tano za mwisho, Simba imeshinda zote ikiwamo moja ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola huku nyingine…

Read More

Algeria kumechangamka, Benchikha auza faili Yanga

YANGA wameshatua Algeria kwa ajili ya mchezo wa pili wa kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwafuata wenyeji wao, MC Alger ambao wanakutana Jumamosi, wiki hii jijini Algiers. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara wameondoka nchini wakitoka kushinda mchezo wa ligi dhidi ya Namungo, ikiwa ni baada ya kupoteza michezo miwili ya mashindano hayo…

Read More

Baada ya Mapengo katika Makubaliano ya Umoja wa Mataifa, Sheria za Kitaifa Lazima Zichukue Hatua Ili Kulinda Haki za Jumuiya ya Ardhi – Masuala ya Ulimwenguni

Masoko ya kimataifa ya kaboni yanahitaji utambuzi wa haki za jamii ili kuunganishwa katika kanuni na mwongozo wa kitaifa na kimataifa. Credit: Charles Mpaka/IPS Maoni na Rebecca Iwerks, Alain Frechette (washington dc) Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service WASHINGTON DC, Des 04 (IPS) – Wakati huu mwaka jana, eneo la misitu liligubikwa na habari…

Read More

Wabunge waiangusha serikali Ufaransa – DW – 05.12.2024

Wabunge wanaoelemea mrengo mkali wa kulia na wa kushoto waliungana kuunga mkono hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Michel Barnier, kwa wingi wa kura 331.  Sasa waziri mkuu huyo anapaswa kukabidhi barua ya kujiuzulu pamoja na serikali yake kwa Rais Emmanuel Macron, hatua inaoifanya serikali yake iliyodumu kwa miezi mitatu kuwa miongoni mwa…

Read More

Jamii za Quilombola Zinaishi Kwa Hofu Kwa Sababu Sheria Zinazostahili Kuwalinda Zinapuuzwa — Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service Des 04 (IPS) – CIVICUS inajadili vitisho kwa usalama, haki na ardhi ya mababu wa jumuiya za quilombola nchini Brazili na Wellington Gabriel de Jesus dos Santos, kiongozi na mwanaharakati wa jumuiya ya Pitanga dos Palmares Quilombola katika jimbo la Bahia. Ilianzishwa na Waafrika waliokuwa watumwa…

Read More

ACT-Wazalendo: Mwili wa Nondo wabainika kuwa na sumu

Dar es Salaam. Chama cha ACT- Wazalendo kimedai madaktari wanaomhudumia  Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo katika Hospitali ya Aga Khan wamebaini mwili wa kijana huyo kuwa na kiwango kikubwa cha sumu. Hadi sasa kwa mujibu wa chama hicho, wataalamu hawajafahamu kama sumu hiyo imetokana na athari za kupigwa na kuteswa…

Read More

Iringa wachekelea huduma za madaktari bingwa 56

Iringa. Siku chache baada ya kuanza kwa kambi ya kanda yakKati ya madaktari bingwa 56 wanaojulikana kama ‘madaktari wa Samia’ katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, wananchi waliopata huduma wameelezea furaha yao. Kambi hiyo iliyoanza juzi, itadumu kwa siku tano. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano, Desemba 4, 2024, baadhi ya wagonjwa wamesema…

Read More