TGNP YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA MAAFISA MAENDELEO
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) imetoa mafunzo ya uchambuzi wa masuala ya kinjisia na bajeti yenye mrengo wa kijinsia kwa Watendaji na Maafisa maendeleo ya jamii yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Lengo la mafunzo hayo ni kuongeza uelewa juu ya umuhimu wa upangaji wa bajeti, mipango na sera zinazozingatia jinsia, miongoni mwa watoa maamuzi pamoja…