REA yaupamba mkutano wa Kikanda wa Nishati Bora 2024
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika jijini Arusha ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko. REA imeungana na wadau mbalimbali kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya…