Kugeukia Mazoea ya Kuzalisha Upya na Vijidudu vya Udongo Kupambana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi – Masuala ya Ulimwenguni

Mbinu za kilimo cha urejeshaji ni seti ya mbinu endelevu za kilimo na kilimo ambazo zinalenga kuimarisha afya ya udongo, rasilimali za maji, uchukuaji kaboni wa kikaboni kwenye udongo na uanuwai wa kibayolojia wa udongo. Credit: Busani Bafana/IPS Maoni by Esther Ngumbi (urbana, illinois, sisi) Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service URBANA, Illinois, Marekani,…

Read More

Wanajiosayansi nguzo muhimu kufanikisha Vision 2030

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Ndugu Msafiri Mbibo amesema kuwa wanajiosayansi ni nguzo muhimu katika kufanikisha dhana ya Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri. Mbibo ameyasema hayo Desemba 04, 2024 Jijini Tanga wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wanajiosayansi kwa niaba ya Waziri wa Madini. Ndugu Mbibo amesema kuwa Wizara ya Madini inatambua…

Read More

DC SHEKIMWERI ATAHADHARISHA WAVAMIZI TASNIA YA HABARI

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN      Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog     Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri, ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kulinda heshima ya taaluma yao, akitahadharisha kuhusu ongezeko la watu wasiokuwa na ujuzi wa…

Read More

Kwanini muhimu mzazi kushiriki vikao vya Shule

Dar/mikoani. Kipi kinakuja kichwani unapopokea barua au wito wa wazazi kushiriki kikao katika shule anayosoma mwanao? Majibu ya swali hilo, yanaakisi mitazamo ya wazazi wengi ambao kwao wanachukulia wito wa vikao hivyo kama mbinu za walimu kutengeneza mtaji wa kuvuna fedha kutoka kwa wazazi. Kwa mujibu wa baadhi ya walimu wanaeleza mitazamo hasi ndiyo inayosababisha…

Read More