Mambo bado kesi ya ‘Dk Manguruwe’
Dar es Salaam. Serikali inaendelea na upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe na mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, Rweyemamu John (59). Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka 28, yakiweno ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha, kinyume cha sheria. Wakili wa…