RAIS MSTAAFU, DKT. KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA GPE
RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) ameongoza vikao vya bodi ya taasisi hiyo leo Jijini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Vikao hivyo vimefunguliwa na Mhe. Reem Al Hashimy, Waziri wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa. Umoja wa Falme za…