Zungusha na ushinde katika Promosheni ya Mwezi wa Pesa

Meridianbet inaleta msimu wa sikukuu wenye furaha kupitia promosheni ya Mwezi wa Pesa. Promosheni hii inalenga kutoa zawadi kubwa kwa wachezaji kupitia michezo maarufu ya sloti ya Playson. Kuanzia Desemba 1 hadi Desemba 25, wachezaji wanapewa nafasi ya kushinda zawadi za nasibu kwa kila dau linalokubalika kwenye michezo inayoshiriki. “Tunataka msimu huu wa sikukuu uwe…

Read More

LIgi Kuu ya Uingereza leo kinawaka tena

Leo unaweza kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kunako ligi kuu ya Uingereza pamoja na ligi zingine barani ulaya na mchezo ambao unakwenda kutupiwa macho zaidi ni kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester United. Arsenal leo watakua nyumbani kuikaribisha Man United kwenye dimba lao la Emirates ambapo washika mitutu wa London…

Read More

Huyu ndiye Nandi-Ndaitwah, Rais mteule wa Namibia

Ndemupelila Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Namibia na wa kwanza mwanamke katika nchi hiyo, baada ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu kwa kupata asilimia 57. Amemshinda mpinzani wake, Panduleni Itula wa IPC aliyepata asilimia 26 ya kura zote. Mshindi huyo ameendeleza utawala wa chama cha Swapo kilichopigania uhuru wa nchi hiyo…

Read More

Happy Birthday Clouds/asante kwa tafuu

Ni miaka 25 toka kuanzishwa kituo cha utangazaji wa radio ya watu CloudsFM ambayo ilikuwa ni December 2 lakini imeamuliwa kusherehekea leo hii ambapo Mkurugenzi Mkuu Joseph Kusaga amechagua kuwa mtangazaji wa Zamu aliyepita vipi tofauti tofauti na kuzungumza na watangzaji wa vipindi hivyo Hizi hapa ni picha za matukio tofauti tofauti kutoka Mjengoni Clouds…

Read More

Hitilafu ya umeme yaikwamisha treni ya SGR, huduma zarejea

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema treni zake za mwandokasi zilizokuwa zinasafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma zilisimama kwa muda kutokana na hitilafu ya umeme katika mifumo ya Gridi ya Taifa. Taarifa ya hitilafu hiyo iliyotokea leo Jumatano, Desemba 4, 2024 awali ilitolewa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco),…

Read More