Israel-Lebanon Sitisho la Mapigano Halina uhakika Huku Kukiwa na Ukiukaji Unaorudiwa – Masuala ya Ulimwenguni

Watoto wawili wa Lebanon wanaoishi katika shule iliyogeuzwa makazi huko Beirut kufuatia kuongezeka kwa uhasama nchini Lebanon. Credit: UNICEF/Fouad Choufany na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Des 04 (IPS) – Tarehe 27 Novemba, Israel, Lebanon, na mataifa mengi ya upatanishi yalikubaliana juu ya makubaliano ya…

Read More

Namibia yapata Rais wa kwanza mwanamke – DW – 04.12.2024

Ushindi huo unamfanya Nandi-Ndaitwah kuwa Rais wa kwanza mwanamke katika taifa hilo la Kusini Magharibi mwa Afrika. Matokeo yaliyotangazwa Jumanne na tume ya taifa ya uchaguzi ya Namibia yanaonesha kuwa makamu wa Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah ameshinda katika uchaguzi huo kwa kupata asilimia 58 ya kura zilizopigwa baada ya zaidi ya asilimia 91 ya kura kuhesabiwa….

Read More

Tumaini jipya kwa watu wenye ulemavu Tanzania

Dar es Salaam. “Ni Tumaini jipya. Ni kauli za watu wenye ulemavu nchini Tanzania baada ya kuanza kutumika kwa mipango madhubuti ukiwemo wa kitaifa wa haki na ustawi wa watu wenye ualbino (MTHUWWU). Pia, mkakati wa Taifa wa teknolojia saidizi kwa wenye ulemavu katika kuwapa fursa na haki. Mipango hiyo imetaja nguzo kuu nne za…

Read More

Tanesco yataja sababu mikoa kadhaa kukosa umeme

Dar es Salaam. Mikoa inayopata huduma ya umeme katika gridi ya Taifa imekosa umeme kutokana na hitilafu iliyojitozea. Hayo yamebainishwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kutokana na hitilafu iliyojitokeza katika mfumo wa gridi ya Taifa leo asubuhi ya Desemba 4, 2024. “Tunautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika mfumo wa Gridi ya Taifa leo Disemba…

Read More

Alliance One Tobacco yashinda tuzo za ATE za mwajiri bora wa mwaka

KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania Limited(AOTTL) imeibuka mshindi wa jumla katika kuzalisha ajira nchini iliyotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania(ATE). Kampuni hiyo yenye kiwanda cha tumbaku mjini Morogoro ilikabidhiwa tuzo ya ushindi huo mwishoni mwa wiki mkoani Dar es Salaam.  Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo, Meneja Rasilimaliwatu wa kampuni hiyo, Blasius Lupenza…

Read More

MAJIKO YA GESI 3,255 KUTOLEWA KWA BEI YA RUZUKU LONGIDO

-Wananchi wamshukuru Rais Samia Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza usambazaji wa majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya ruzuku Wilayani Longido Mkoani Arusha ikiwa ni utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hayo yameelezwa Desemba 3, 2024 Wilayani Longido na Mhandisi wa Miradi…

Read More

VETA YABUNI DAWA YA KUKABILIANA NA UTI NA FANGASI

Na Avila Kakingo MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA), imebuni dawa ya kukabiliana na ugonjwa ya maambukizi ya bakteria kwa njia ya mkojo (UTI) na fangasi inayoitwa Lab Spray Disinfectant. Mwalimu wa Maabara Kutoka VETA Chang’ombe, Ally Issa ameyasema hayo  katika Kongamano na maonyesho ya tisa ya Sayansi, Teknolojia, na Ubunifu (STICE) linalohitimishwa…

Read More

TASAF YAPONGEZA JITIHADA ZINAZOFANYWA NA WALENGWA WENYE ULEMAVU KUPAMBANA NA UMASIKINI

  Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI wa Miradi wa TASAF John Steven amewapongeza watu wenye ulemavu kutoka katika Kaya za Walengwa kwa jitihada wanazoonesha katika kupambana na umaskini. Hayo ameyasema Desemba 3,2024 alipotembelea banda la TASAF la Walengwa wenye Ulemavu katika kuadhimisha Siku ya Watu Wenye Ulemavu duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. “TASAF inafarijika sana…

Read More