
Wawili wadakwa kwa kuingia vipodozi vyenye sumu
JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia watu wawili kwa tuhuma ya kusafirisha vipodozi vyenye viambata vya sumu aina mbalimbali boksi 201. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe … (endelea). Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe, SACP Augustino Senga amewataka watuhumiwa hao ni dereva wa lori tenki la mafuta lenye namba za usajili T.747 DDE na…