Yanga yaruka mtego wa Waalgeria

HII inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja…

Read More

Sababu bei ya nyama kupaa, Dar yaongoza

Dar es Salaam. Kupungua mifugo inayopelekwa sokoni, madai ya kuwapo wanunuzi kutoka nje ya nchi katika minada ya awali na ongezeko la mahitaji ya nyama ni miongoni mwa sababu ya zinazotajwa kupaisha bei ya nyama katika maeneo mbalimbali nchini, Dar es Salaam ikiongoza. Sababu hizo zimechochea kupanda kwa bei ya ng’ombe katika minada ya awali…

Read More

Aliyeiba iPhone 16 Pro Max, apewa kifungo cha nje

Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemhukumu Justo William (31) kutumikia kifungo cha nje cha miezi minne baada ya kupatikana na hatia ya kuiba simu ya mkononi aina ya Iphone 16 Pro Max yenye thamani ya Sh7 milioni. William ambaye ni dereva na mkazi wa Kitunda, jijini Dar es Salaam amehukumiwa kifungo hicho leo,…

Read More

WAZIRI JAFO ATAKA WAWEKEZAJI KUONGEZA WIGO WA UWEKEZAJI NCHINI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akitembelea Kiwanda cha Vioo cha KEDA ili kuona shughuli za uzalishaji wa Vioo katika kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani.   …. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo amewataka wawekezaji Nchini kuongeza wigo wa uwekezaji nchini ili kuendeleza uchumi wa Viwanda Nchini. Amesema wamiliki wa Viwanda…

Read More

Ukame alielezea – ​​Global Issues

Ibrahim Thiaw, Katibu Mtendaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Jangwa (UNCCD) alikuwa akizungumza katika ufunguzi wa COP16 mkutano mkubwa wa kimataifa unaofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia, ambapo utawala mpya wa kimataifa wa ukame unatarajiwa kuafikiwa ambao utakuza mabadiliko kutoka kwa mwitikio tendaji wa misaada hadi kujiandaa kwa vitendo. Hapa…

Read More