Baba asimulia mwenyekiti UVCCM alivyouawa
Mbeya. Adalas Mwijagege, baba mzazi wa Michael Kalinga ali, mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Chunya mkoani Mbeya amesema anaviachia vyombo vya dola kubaini waliohusika na mauaji ya mwanaye. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wa kijana huyo umekutwa katika Kata…