WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA DKT. NDUGULILE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yaliyofanyika eneo la Mwongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Viongozi wengine walioshiriki Mazishi hayo ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi,…

Read More

Ahukumiwa kifo kwa utapeli wa Sh31 trilioni

Vietnam. Mahakama Kuu ya watu nchini Vietnam imethibitisha hukumu ya kifo ya mwanamke tajiri wa sekta ya mali isiyohamishika, Truong My Lan ambaye Aprili mwaka huu alihukumiwa kwa utapeli wa Dola 12 bilioni za Marekani (Sh31 trilioni). Mahakama hiyo imeamua kuwa, hakuna sababu ya kupunguza adhabu ya kifo ya Truong My, japo imesema hukumu hiyo…

Read More

Kikao cha Mjadala cha IPBES Kinafanya Ziara ya Uzinduzi katika Bara Anuwai ya Kihai – Masuala ya Ulimwenguni

Springbok huko Sossusvlei, Namibia. IPBES 11 imeratibiwa kufanyika Windhoek, Namibia kuanzia Desemba 10-16. Credit: Gregory Brown/Unsplash na Joyce Chimbi (nairobi) Jumanne, Desemba 03, 2024 Inter Press Service NAIROBI, Desemba 03 (IPS) – Mkutano wa kwanza wa Mjadala wa Jukwaa la Sera ya Kiserikali ya Sayansi na Sera ya Huduma za Bioanuwai na Ikolojia (IPBES) barani…

Read More

SEKTA YA UTALII INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KUONGEZEKA KWA MIGONGANO BAINA YA BINADAMU NA WANYAMAPORI

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma PAMOJA na mchango wa Sekta ya Maliasili na Utalii katika uchumi wa nchi na ustawi wa jamii Sekta hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo kuongezeka kwa migongano baina ya binadamu na wanyamapori inayosababishwa na uvamizi wa shughuli za binadamu karibu na maeneo ya hifadhi na kwenye shoroba za wanyamapori hususan…

Read More

Waziri Mkuu ashiriki maziko ya Dkt Ndugulile