Jesca kinara wa asisti BDL
WAKATI msimu wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2024, ukikaribia kumalizika, Jesca Lenga wa DB Troncatti ndiye aliyekuwa kivutio kwa utoaji wa asisti tangu ligi hiyo ilivyoanza. DB Troncatti ilitolewa na DB Lioness katika mchezo wa nusu fainali katika michezo 2-1 na mchezo wa kwanza DB Lioness ilishinda kwa pointi 64-45,…