WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki kuendelea kujadili changamoto katika utoaji haki na kuweka mipango endelevu ya namna ya kukabiliana na changamoto hizo kupitia mikutano yake. Ametoa wito huo leo (Disemba 03, 2024) alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Ishirini na Moja wa…