Vita vyashika kasi Syria, Iran yataka diplomasia kutumika – DW – 03.12.2024
Mashambulizi hayo yalitokea kwenye vijiji vilivyopo kaskazini mwa jimbo la Deir Al Zor mapema hii leo. Hayo yanafanywa wakati kundi la Hezbollah la Iraq likitoa wito kwa Baghdad kupeleka wanajeshi nchini Syria kuisaidia serikali. Muungano wa SDF unaoongozwa na waasi wa Kikurdi kaskazini na mashariki mwa Syria, huko nyuma uliwahi kushirikiana na muungano ulioongozwa na Marekani…