Sababu ya kuchapia katika mazungumzo ya Kiswahili
Huenda katika mazingira fulani kwa bahati mbaya umewahi kupata changamoto ya kutamka kwa isivyo sahihi baadhi ya maneno, na kujikuta unakosea baadhi ya herufi. Hali hii ndio tafsiri ya “kuchapia”.Zipo sababu mbalimbali zinazochochea kuibuka kwa kwa hali hii ikiwemo kutokea kwa bahati mbaya yaani isivyo tarajiwa wakati wa kipindi cha mazungumzo. Lakini zipo sababu zingine…