Watatu washikiliwa mauaji ya mzee wa miaka 72 Kilimanjaro
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya Isaack Mallya (72), mkazi wa Kijiji cha Umbwe Onana, Kata ya Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi. Mwili wa Mallya, ulikutwa jana Desemba 2, 2024 umetelekezwa nje ya nyumba yake ukiwa na majeraha sehemu mbalimbali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,…