
Nyongo kuongoza maziko ya kigogo wa Hazina, mwanaye
Arumeru. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika ibada ya maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko na binti yake, Maureen Nnko. Nnko na binti yake, walifariki katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya…