USAID Afya Yangu na Kizazi Hodari Kanda ya Kusini washirikiana na WiLDAF kuzindua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsi
Miradi ya USAID Afya Yangu na Kizazi Hodari Kanda ya Kusini inayofadhiliwa na Shirika la Msaada la Watu Kutoka Marekani na kusimamiwa na Deloitte Consulting Limited, imeungana na shirika la WiLDAF Tanzania kwenye kuzindua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kinjisia kwa mwaka 2024 huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni ‘Baada…