WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe Dkt. Zakia Mohamed Abubakar akizungumza wakati akifunga mafunzo ya kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Disemba 01,2024. Na Mwandishi wetu, ArushaWatendaji wa Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga…