Yas wazungumzia upekee wa jina hilo
Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa mpito wa Yas Tanzania, Jérôme Albou amesema jina la Yas na Mixx by Yas, ni matokeo ya ubunifu uliofanywa kupata kitu cha tofauti na kuja kivingine katika biashara. Albou amesema miongoni mwa matarajio yao ni kuwa na huduma bora zinazohusu bidhaa zao zote. “Tumekuwa na miaka 14 ya…