
Coastal yaichapa Prisons kibishi | Mwanaspoti
COASTAL UNION imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons na kuifanya timu hiyo kusogea hadi nafasi ya tisa kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo ulipigwa leo Jumatatu saa 7 mchana kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, baada ya kushindwa kufanyika juzi kutokana na mvua kubwa iliyonyesha. Coastal ilikuwa…