
SMZ yakiri haijafanya tathmini matumizi ya nishati safi licha ya kuongezeka
Unguja. Licha ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)kueleza kuwa, haijafanya tathmini kuhusu wananchi wanaotumia nishati mbadala, imesema matumizi ya gesi yameongezeka kisiwani humo ikiwa ni ishara ya kuachana na matumizi ya nishati chafu. Kwa mujibu wa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Harusi Said Suleiman matumizi ya gesi yameongezeka kutoka ujazo wa…