
CEO Simba na mizigo ya kubeba
Novemba 23, 2024, Klabu ya Simba ilimtangaza rasmi, Zubeda Hassan Sakuru kuwa kaimu mtendaji mkuu (CEO), hatua ambayo imepokelewa kwa hisia mchanganyiko kutoka kwa wadau wa soka lakini pia na wanachama wa timu hiyo kutokana na matarajio yao. Zubeda ameteuliwa kushika wadhifa huo akichukua nafasi ya Mnyarwanda, Francois Regis aliyedumu kwa miezi minne tu ndani…